top of page
Search


Siku ya kuzaliwa: Odemba aungana watoto wenye uhitaji
Mwanamitindo wa kimataifa, Miriam Odemba, anatarajiwa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kusherehekea pamoja na watoto wenye ulemavu katika shule ya Msingi ya Jeshi la Wokovu jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo fupi inaakisi dhamira yake ya muda mrefu katika kuendeleza upendo, ujumuishaji wa jamii, na huduma kwa makundi maalum. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mwalimu Ibra wa shule hiyo amesema kuwa uhusiano wa Miriam na watoto hao umekuwa thabiti na utamaduni wa kila mwaka. “U
Charlii Media
Feb 132 min read
Â
Â
Â


Miriam Odemba Foundation Yadhamini Mchezo wa Kirafiki wa Waandishi wa Habari, Yatoa Wito wa Umoja Kupitia Michezo
Na Charles Mkoka Katika kuhamasisha mshikamano na afya kwa vijana, Taasisi ya Miriam Odemba Foundation (MOF) imedhamini rasmi mchezo wa...
Charlii Media
Jul 12, 20252 min read
Â
Â
Â
bottom of page
